Judoka Maelys Dapa alishinda medali ya bronze katika Mashindano ya Dunia ya Junior huko Tachkent Uzibekistani.